Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Butiama, anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kufanya kazi ya Mtendaji wa Kijiji kutuma maombi ya kuomba kazi hiyo ndani ya siku 14 kuanzia tarehe ya tangazo hili (TAREHE 05/04/2018-18/04/2018) . Maombi yote yatumwe kupitia anwani ya posta ya S.L.P 1207 BUTIAMA au barua pepe ya ded@butiamadc.go.tz
SIFA HITAJIKA
1.Elimu kidato cha Nne au Sita
2.Astashahada(Cheti) katika fani ya Utawala,Sheria,Elimu ya jamii,Usimamizi wa Fedha,Maendeleo ya Jamii na Sayansi ya Sanaa kutoka chuo Kinachotambulika na Serikali.
Ahsante ,na karibuni sana Butiama
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: 2622163
Simu: 0756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa