Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Butiama anawatanagazia Watendaji Daraja III wote waliofika kwenye Usaili na kushinda kwenye Usaili huo ,wafike Ofisini kwa ajili ya kupangiwa vituo vya kazi . Orodha ya wanaotakiwa kufika imeambatanishwa pamoja na tangazo hili.
Ahsante,
KARIBUNI SANA BUTIAMA
Bonyeza hapa kupata Orodha na Majina ya walioshinda TANGAZO_KUITWA_KAZINI.pdf
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa