• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
BUTIAMA DISTRICT COUNCIL
BUTIAMA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA BUTIAMA

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
  • Utawala
  • Investment Opportunities
  • Huduma
  • Councillors
  • Miradi
  • Media Centre

JENGO LA DISPENSARI YA MATONGO LAEZULIWA

Sunday 6th, July 2025
@Matongo


Usiku wa tarehe 20,oct 2018 kulitokea mvua kubwa iliyoandamana na Upepo mkali katika wilaya ya Butiama .Upepo huo Uliweza kuezua jengo la Dispensari ya Kijiji cha Matongo lilokuwa limejengwa kwa nguvu za wananchi.

Wakizungumuzia tukio hilo Diwani wa kata hiyo ya Buhemba Mhe.Boniphace Masero pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Mhe. Magina Nyahuko ,Wamesema wananchi wa kijiji cha matongo na vijiji vingine vinavyozunguka eneo hilo wamepata hasara kubwa kutokana na janga hilo lililosababishwa na Upepo mkali. 

Jengo hilo lililokuwa limejengwa kwa nguvu za wananchi pamoja na halmashauri ya Wilaya ya Butiama ,lilikuwa limeezekwa kwa ukamilifu,limepigwa ripu nje na ndani pamoja na kuwekwa milango na madirisha.

Kwa ujumla wake viongozi hao waliofika mara baada ya tukio hilo wameiomba serikali pamoja na wadau wengine kujitokeza kutoa msaada wa hali na mali kwa wananchi wa kijiji cha matongo na vijiji jirani ilijengo hilo liezekwe Upya  na wananchi wapate huduma waliyokusudia.

Matangazo

  • TANGAZO LA JINSI YA KUOMBA LESENI YA BIASHARA KWA KUTUMIA MFUMO WA TAUSI June 29, 2023
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI BUTIAMA DC September 16, 2024
  • TANGAZO LA SHERIA NDOGO VIBALI VYA UJENZI BUTIAMA DC. January 27, 2025
  • TANGAZO LA SHERIA NDOGO VIBALI VYA UJENZI BUTIAMA DC. January 27, 2025
  • Zaidi

Habari mpya

  • MAFUNZO KWA WATAALUMU WASIMAMIZI WA MIKOPO NGAZI YA KATA BUTIAMA DC.

    October 09, 2024
  • MAFUNZO KWA WATAALUMU WASIMAMIZI WA MIKOPO NGAZI YA KATA BUTIAMA DC.

    October 09, 2024
  • Mara yafikia asilimia 95.5 matumizi fedha za lishe

    August 22, 2024
  • ZOEZI LA UHAKIKI WA PIKIPIKI ZILIZOTOLEWA NA WIZARA YA KILIMO

    July 26, 2023
  • Zaidi

Video

Alichokisema Mhe.Rais ,Mama Samia suluhu Hassan alipofika Butiama kwenye ziara
video

Viunganishi vya haraka

  • MAKUMBUSHO YA BABA WA TAIFA
  • WIZARA YA TAMISEMI
  • SECRETARIET YA AJIRA (KUTAFUTA KAZI)
  • KUPATA SALARY SLIP KWA WATUMISHI WA SERIKALI

Viunganishi Muambata

  • Mkoa wa Mara
  • Utumishi
  • Tovuti ya Baraza la Mitihani
  • Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Butiama District Council

    Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA

    Simu: (028)2623121

    Simu: 0767300061/756357458

    Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • sera
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa