Thursday 28th, March 2024
@Butiama
Mhe.Makamu wa Rais ,Mama Samia Suluhu Hassan ameongoza Wananchi Wilayani Butiama kupanda miti siku ya kilele cha maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani kitaifa hapa Wilayani Butiama.SIku hiyo ilitanguliwa na kongamano kubwa la kitaifa juu ya utunzaji wa mazingira lililofanyika wilayani butiama ktk ukumbi wa RC uliyopo hapa wilayani .siku hiyo ya maadhimisho Mhe.Makamu wa Rais alipanda mti ktk shamba la miti la Baba wa Taifa mwl.J.K.Nyerere kama ishara ya kumwenzi kwa juhudi kubwa alizozifanya katika utunzaji wa mazingira enzi za uhai wake.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa