Mhe.Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani mara kuadhimisha siku ya mazingira duniani kitaifa iliyofanyika wilayani Butiama,kuanzia tarehe 1-5/06/2017 ametembelea pia shamba kubwa la mbegu ya mhogo lililopo wilayani Butiama na kupokea taarifa kutoka kwa Mkuu wa wilaya Mama Anna Rose Nyamubi jinsi Halmashauri ya wilaya ya Butiama ilivyoshilikiana na kikosi cha JKT-Rwamkoma kulima na kutunza shamba hilo.Mhe.Makamu wa Rais amepongeza Halmashauri ya wilaya na kikosi hicho cha jeshi jinsi walivyofanya kazi kubwa ya kulima na kutunza shamba hilo la hekari 30.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa