Waheshimiwa madiwani wakitembelea Mradi wa Ujenzi wa zahanati ya Kijiji cha Matongo Wilayani Butiama.Mradi huo Unatekelezwa kwa nguvu za wananchi na kusaidiwa na halmashauri ya wilaya ya Butiama.Boma la Jengo hilo limekamilika limebaki kuezekwa pamoja na kufanyiwa finishing katika kuta.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa