Halmashauri ya Wilaya ya Butiama ina maeneo makubwa yanayofaa kwa kilimo cha Mhogo .hapa chini ni moja ya shamba kubwa la mbegu ya Mhogopicha. No.1 mwenyekiti Wa Halmashauri Mhe. Magina Nyahuko akioneshwa baadhi ya Miche ya zao la Mhogo na Afisa kilimo (w) Bw.Revocatus Rutunda.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa