Friday 27th, December 2024
@Butiama
Mhe.Waziri kuu atafika wilayani butiama kuanzia tarehe 20-21,jan 2018. Akiwa wilayani Butiama Mhe. Waziri mkuu atatembelea mashamba ya mbegu ya mhugo na pamba yaliyopo Rwamkoma na baadae ataelekea bumangi sekondari kwa ajili ya uzinduzi wa ujenzi wa mabweni na madarasa katika shule hiyo na baadae ataelekea chuo kikuu cha Mwl.Nyerere kuzugumza na watumishi. Baada ya kazi hiyo atahutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya mwenge vilivyopo Butiama.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa