Friday 27th, December 2024
@Butiama
Wananchi wa Wilaya ya Butiama wamekusanyika kwenye viwanja vya Halmashauri ya wilaya kupata elimu juu ya ujenzi na utumiaji wa vyoo kupitia kampeni ya kitaifa ya "NYUMBA NI CHOO". Kampeni hiyo inaendeshwa kitaifa na msanii maarufu ,Mrisho mpoto chini ya wizara ya Afya .
Akizungumuza katika maadhimisho hayo Mkuu wa wilaya ya Butiama ameahidi kusimamia kikamilifu ujenzi wa vyoo na kuhimiza kikamilifu utumiaji wake katika kata na vijiji vyote ndani ya wilaya ya Butiama haraka iwezekanavyo ili kuepuka madhara makubwa yanayoweza kujitokeza ndani ya wilaya.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa