Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Butiama Bi.Aziza J.Baruti leo tarehe 28 Agosti 2025 Amefanya kikao kazi na baadhi ya Watumishi wa halmashauri na kuwaasa kufanya kazi kwa bidii,kuwahi kazini,na kuwahudumia wananchi kwa upendo na kwa muda muafaka.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa