Kaimu katibu Msaidizi Tume ya Utumishi wa Walimu Ndugu Mariba Waitara,Afisa Maadili na Nidhamu Bi.Regina D.Kinabo wakishirikiana na Maafisa Elimu Sekondari na Msingi,Afisa Utumishi na Katibu wa CWT na Meneja wa NMB Bank wote kwa pamoja wametoa Mafunzo kwa Watumishi wa Ajira Mpya wa halmashauri ya Butiama DC 2025.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa