Familia ya Baba wa Taifa Mwl.julius K.Nyerere inawakaribisha Wananchi wote wa Butiama na maeneo jirani katika maadhimisho ya miaka 23 ya kifo cha Baba wa Taifa yatakayofanyika ijumaa tarehe 14 Oct 2022 katika viwanja vya Nyumbani kwake,Mwitongo Butiama.
Maadhimisho hayo yatatanguliwa na Misa takatifu itakayoadhimishwa katika kanisa Katoliki la Butiama kuanzia saa 4:00 Asubuhi.
Wote Mnakaribishwa .
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa