Ina vitengo vipatavyo vinne, ambavyo ni:
1.MipangoMijinaVijiji
2.ArdhiUtawala
3.UpimajiwaRamani
4.Uthamini
HudumazitolewazonaIdaranipamojana:
1.Kumilikisha ardhikwa wananchi
2.Kuandaa mipango mbalimbali ya miji na vijiji
3.Kuthaminisha ardhi kujua thamani yake
4.Kupima ardhi na kuandaa ramani za upimaji
5.Kutatua migogoro ya ardhi
6.Kutoa ushauri juu ya masuala yote ya ardhi
Maeneo ya miji yanamilikishwa kwa Sheria namba 4 ya Ardhi (1999) na Sheria ya Mipango Miji namba 8 (2007)
1.Kiabakari
2.Butiama
3.Kiagata
4.Buhemba
5.Makutano
Maeneo mengine yanayotarajiwa na yapo mbioni kutangazwa maeneo ya miji ni pamoja na:
1.Muriaza
2.Butuguri
3.Sirorisimba
4.Isaba
Umiliki wa ardhi Mjini – Mahitaji:
1.Eneo lazima liwe limeandaliwa mchoro wa mipangomiji
2.Kiwanja kipimwe kama kinavyoonyeshwa kwenye mchoro wa mipangomiji
3.Mwananchi kumilikishwa ardhi kutokana na matumizi yaliyopangwa
Umiliki wa ardhi vijijini –Mahitaji:
1.Mipaka ya kijiji ijulikane; mfano: kijiji kiwe kimepimwa mipakayake
2.Kijiji kiwekimeandaliwa mpango wa matumizi bora yaardhi
3.Kijiji kiwe na cheti cha ardhi
4.Kijiji kinapaswa kuwa na masijala ya ardhi
5.Eneo lililotengwa kwa ajili ya matumizi ya makazi liwe limeandaliwa
6.Eneo la mashamba linapimwa na kisha kuandaliwa ramani
7.Kuandaa hati za kimila
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa