Thursday 26th, December 2024
@
OFisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Butiama kushirikian na Ofisi ya Mbunge wa jimbo la Butiama wameandaa kongamano maalum la Elimu lililofanyika katika ukumbi wa Chifu Ihunyo-Butiama tarehe 10/09/2021.
Wakati wa kongamano hilo ,Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji kushirikiana na Ofisi ya Mbunge jimbola Butiama wamewazawadia walimu wote wa shule za sekondari walifanya kazi nzuri zaidi ya kuwafundisha wanafunzi waliofanya vizuri katika Mitihani ya kitaifa ya kidato cha sita,kidato cha Nne na kidato cha pili iliyofanyika mwaka jana 2021 na kupelekea Ufaulu kiwilaya kuongezeka .
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa