Thursday 26th, December 2024
@kialano
Afisa Usafi na Mazingira wilaya ya Butiama Ndugu Karani Ruhumbika Phales kwa kushirikiana na shirika la Global Resources Alliance wamebuni na kuanzisha vitalu vya kuotesha miti ndani ya wilaya ya Butiama.Mtalaam huyo wa mazingira anawatangazia wanchi wote wapenda mazingira ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Butiama kufika eneo la Kiarano vilipo vitalu vya miti kwa ajili ya kuchagua aina mbalimbali ya miti waipendayo ili wakapande kwenye maeneo yao.Afisa huyo amesisitiza kuwa miti hiyo inagawika bure kwa yeyote anayehitaji.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa