Afisa kilimo wilaya ya Butiama Ndg. Revocatus Lutunda washilikiana na watalaam wa kilimo cha mazao ya mizizi kutoka chuo cha kilimo cha SUA ,wametoa elimu kwa wananchi wa Butiama juu ya faida za zao la viazi lishe kiafya na kiuchumi.
Sambamba na elimu hiyo Afisa kilimo ameongoza watalaam wa kilimo wote ngazi ya kata kuwagawiya wakulima hao mbegu bora ya zao hilo kutoka shamba darasa lililopo katika kijiji cha Matongo ,kata ya Buhemba.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa