Mbunge wa jimbo la Butiama,ambaye pia ni Naibu waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mhe.Jumanne sagini ameshiriki tamasha la mashindano ya mbio za hiari za Mwl.Nyerere Marathon katika viwanja vya mwenge wilayani Butiama .
Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa maliasili na Utalii Balozi Dk.Pindi chana ambapo pia alipata fursa ya kutembelea kaburi na makumbusho ya Mwl.J.k Nyerere akiambatana na Viongozi mbalimbali akiwemo naibu waziri wa Mali Asili na Utalii Mhe.Mary Masanja.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa