Mweka Hazina (DT) Upendo Mbuni na Afisa Tehama (DICTO) Julius Wambura wote toka Butiama DC Wakitoa Mafunzo kwa Watendaji wa kata (WEO) na Vijiji (VEO) namna ya kutumia Mfumo wa Malipo FFARs katika Ukumbi wa Halmashauri ya Butiama.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa