Katibu mkuu OR-TAMISEMI amefanya ziara katika wialaya ya Butiama kwa lengo la kujionea ujenzi wa miundombinu ya Hospital ya wilaya pamoja na majengo ya madarasa katika shule mbalimbali za msingi na sekondari.Akiwa anahitimisha ziara hiyo ,amezungumza na watumishi wa halmashauri kwa lengo la kusikiliza na kutolea majibu changamoto mbalimbali za watumishi wa Halmashauri.Baadhi ya changamoto hizo ni Upungufu wa watumishi katika idara zote ,upungufu wa Vitendea kazi pamoja na kutopandishwa vyeo kwa baadhi ya watumishi kwa muda mrefu.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa