Kamati ya fedha mipango na Utawala katika Halmashauri ya Wilaya ya butiama imefanya ziara katika miradi mbalimbali inayoendelea kujengwa ili kujionea hali halisi ilivyo.baadhi ya miradi hiyo ni miradi ya ujenzi ya vyumba vya madarasa ya shule shikizi katika kijiji cha Bisumwa ,ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Butiama,Ujenzi wa vyumba vya madarasa Butiama Sekondari pamoja na ujenzi wa vyoo shule ya msingi Busirime.
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa