Kazi zinazotekelezwa na kitengo cha manunuzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Butiama
1. Kusimamia manunuzi yote ya Halmashauri
2. Kusaidia kazi za Bodi ya Zabuni
3. Kutekeleza manunuzi ya Bodi ya Zabuni
4. Kuandaa nyaraka za zabuni
5. Kuandaa matangazo ya zabuni
6. Kuandaa mikataba
7.Kutunza nyaraka zote za manunuzi
8.Kuandika taarifa za manunuzi kwa kila mwezi na robo mwaka
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa