Karibu katika ukurasa wa tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama-Mkoani Mara.
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Butiama unakukaribisha Msomaji uliyeingia katika tovuti hii ya taasisi yetu.
Katika tovuti hii utapata habari za matukio mbalimbali ya kitaifa, kimkoa na wilaya yetu ya Butiama. Msomaji wa tovuti hii unaweza soma habari za shughuli za kila siku za halmashauri, taarifa za miradi, Matukio yanayoihusu taasisi yetu pamoja na matangazo mbali mbali.
Pitia mara kwa mara katika tovuti hii kupata habari za kiofisi za Halmashauri yetu, Aidha ukiwa na kero au maoni unaweza kuyawasilisha kupitia barua pepe yetu ded@butiamadc.go.tz
.
Jina la Wilaya hii limetokana na kijiji cha Butiama ambacho ndipo alizaliwa Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere .
Ndani ya Wilaya hii ndipo kuna makumbusho na kaburi la Baba wa Taifa eneo la Mwitongo .kwa maelezo zaidi Bonyeza Hapa
Butiama District Council
Anuani ya posta: P.O.BOX 1207 BUTIAMA
Simu: (028)2623121
Simu: 0767300061/756357458
Barua pepe: ded@butiamadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Butiama.Haki zote zimehifadhiwa